Kumekucha Huko Gigy Money Amchamba Diva wa Wasafi FM "Ukome Kutumia Jina Langu Kuntrendisha Kipindi Chako" - EDUSPORTSTZ

Latest

Kumekucha Huko Gigy Money Amchamba Diva wa Wasafi FM "Ukome Kutumia Jina Langu Kuntrendisha Kipindi Chako"

 


AMEANDIKA GIGYMONEY:-

‘’Ivi mshajiuliza kwanini kipofu hana Macho lakini anaona Kinyaaa 😣 Maisha ya insta pia yanachosha kwani Dada Diva mtu akija kwenye kipindi chako uwezi kumuliza ata kama anajua umri wako sipendi unavyofanya jina langu as mm nagombana Na Hao madem Yani sio fresh kama inakupa airtime kwasababu ba mtoto wangu pia anakipindi cha usiku izo ni biashara Zenu Dada diva acha kuwauliza watu kuhusu mimi wa trend SIPENDI DIVA

I GO THROUGH MY HARD TIMES ALONE SO LEAVE ME ALONE nakueshim sana Na Nna maisha yakutegemewa huu muda mnaotaja jina langu ovyo mnampa mwanangu shida yakuelewa kila siku mama ake midomoni sitaki nyie ni wakubwa sana kiumri acheni Drama zakiZamani usipereke kipindi kama jumba la michambo nakudharilishana sitaki kama kosa nikutokuja kwenye kipindi chako siku ile basi sitaki kugombana mimi mkubwa saivi sipendi Dada Angu sio vizuri kila nikiamka nakuta wewe Na baadhi ya watu mnaniongelea afu sio vizuri, vibaya kwani hap watu wanataka kuniongelea hawana mema niliyo wahi kuwafanyia 😣 Eti this is my interview sitaki nyie WAMAMA WAKUBWA SASA JAPO HAMJAZAAAA.

  

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz