Rais Samia Atuma Salamu za Pole Kifo cha Mghwira - EDUSPORTSTZ

Latest

Rais Samia Atuma Salamu za Pole Kifo cha MghwiraRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa familia ndugu jamaa na marafiki kuafuatia kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira kilichotokea leo Julai 22, katika hospital ya Rufa ya Mount Meru mkoani Arusha alipokuwa anapatiwa matibabu.

Rais amesema amepokea taarifa za kifo cha Anna Mghwira kwa majonzi na masikitiko makubwa hasa akikumbuka mchango alioutoa katika ujenzi wa taifa.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz