Kama Aliyesema Manara ya Kulipwa Laki 7 Basi Kunatatizo Mahali Simba - EDUSPORTSTZ

Latest

Kama Aliyesema Manara ya Kulipwa Laki 7 Basi Kunatatizo Mahali Simba


Alivyosema Haji kama ndio ukweli wenyewe basi kazi ipo. Ila kilichonishangaza zaidi ni aliposema analipwa 700k! Kwa ground vitu viko different sana. Huyu jamaa anastahili take home ya si chini ya Milioni 7 au 8 kwa mwezi + benefits nyingine..

Kwa kazi na juhudi anazozifanya Haji Manara kuipigania Simba basi kuna tatizo mahali
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz