Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amejisalimisha polisi - EDUSPORTSTZ

Latest

Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amejisalimisha polisi

 

Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amejisalimisha polisi
tayari kuanza kutumikia adhabu ya kifungo cha miezi 15 jela aliyopewa na Mahakama ya Katiba kwa kosa la kudharau mahakama. Zuma alijisalimisha jana baada ya polisi kusema wangemkamata kabla ya siku kuisha.  
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz