Queen Darleen Afunguka Kuhusu Kuwachapa Viboko Diamond Platnumz na Romy Jones - EDUSPORTSTZ

Latest

Queen Darleen Afunguka Kuhusu Kuwachapa Viboko Diamond Platnumz na Romy JonesQueen Darleen Anasema alilazimika kuwachapa Viboko @diamondplatnumz na @romyjons pale ambapo walikuwa wanajishugulisha na Muziki Darleen anadai alikuwa anafanya hivyo kwasababu alikuwa hataki wadogo zake aharibikiwe kwasababu kipindi hicho muziki uliaminika ni uhuni .

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz