Polisi: Mbowe Anatuhumiwa Kula Njama za Kufanya Vitendo vya Ugaidi - EDUSPORTSTZ

Latest

Polisi: Mbowe Anatuhumiwa Kula Njama za Kufanya Vitendo vya Ugaidi
Baada ya kushikiliwa kwa takribani siku mbili, Jeshi la Polisi limesema kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe anakabiliwa na tuhuma mbalimbali ikiwemo za kupanga njama za kufanya vitendo vya kigaidi na kuua viongozi wa Serikali ambapo wenzake sita walishafikishwa mahakamani.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz