Haji Manara Afunguka Tena "Ngoja Mechi Ipite Nitaongea Tuona Kama mtu Atajitokeza Kujibu" - EDUSPORTSTZ

Latest

Haji Manara Afunguka Tena "Ngoja Mechi Ipite Nitaongea Tuona Kama mtu Atajitokeza Kujibu"


Reposted from @hajismanara Wenye akili wananiambia niendelee kunyamaza ila wao kutwa kuchukua clip zangu za zamani kuzisambaza na sasa wanatoa clip za mambo ya uongo kuzisambaza !!

Narudia tuiache mechi ipite kisha tuone nitakayoyasema kama atatokea yoyote miongoni mwao atajibu kitu..

Endeleeni kuwaongopea watu hadi jumapili lakini Wallah hamtaninyamazisha ikifika jumatatu.

Uhai na Majaaliwa ndio ya kuomba
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz