Pamoja na Kushida Dhidi ya Yanga Lakini Pengo la Haji Manara Limeonekana..Derby Haikuwa na Hamasa - EDUSPORTSTZ

Latest

Pamoja na Kushida Dhidi ya Yanga Lakini Pengo la Haji Manara Limeonekana..Derby Haikuwa na Hamasa



Mdau Ameandika 👉"🖐Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni Derby Ya Awamu Hii haikuwa na Hamasa Kabisa Sababu Ya Huyu Jamaa @hajismanara Kwa Vile Anamatatizo Derby imeonekana Ya Kawaida Tu
Jamaa Anamchango Mkubwa Sana Kwenye Soka Letu Mie Yanga Lakini Namkubali 

Simba Mkimpoteza Huyu Jamaa ItawaCost Sana Sana Na Kuvuka Hatua Ya Makundi Ligi Ya Mabigwa Afrika Hamtavuka Tupo Hapa🤗 Mtafutana Mchawi nani Na Mtatimuana 😃 Hata Huyo Mo Boss Wenu Atawakimbia 💪 "





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz