Mzozo wa mataifa mawili uliopelekea bei ya mafuta kupanda duniani - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mzozo wa mataifa mawili uliopelekea bei ya mafuta kupanda dunianiUhasama uliopo kwa sasa kati ya UAE na Saudia Arabia kuhusu uzalishaji wa mafuta ambao uneanza wiki hii ndio ulifanya mazungumzo kati ya wazalishaji wa mafuta kufutiliwa mbali.

Mzozo huo umeacha soko la mafuta katika hali ya kutatanisha kitu kilichopelekea bidhaa hiyo kupanda bei kwa mara ya sita mwaka huu.

Ikumbukwe kuwa Wanachama 23 wanaozalisha mafuta na kuuza duniani walilazimika kuahirisha mkutano huo ghafla baada ya kujitokeza mzozo kati ya UAE na Saudia Arabia.

Tatizo lilianza wiki iliopita , wakati UAE ilipokataa pendekezo la wanachama wawili wa Opec+ Saudia na Urusi kuongeza usambazaji wa Mafuta kwa kipindi cha miezi minane ijayo.

UAE ilitaka kuanzisha mazungumzo mapya kuhusu nyongeza au punguzo la faida ya mafuta yake – ili kuweza kuipatia uhuru kuzalisha wa mafuta zaidi.

Hatahivyo, Saudia na Urusi walikuwa wanapinga wazo hilo.

Mazungumzo hayo yalichukua mwelekeo tofauti wakati mawaziri kati ya UAE na Saudia kuamua kutangaza tofauti zao hadharani.

Kwa miaka kadhaa sasa kumekuwa na ushirikiano mkubwa kuhusu masuala ya kimkakati.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz