Mimi Ni Msichana Mrembo Sana Ila Nikiingia Kwa Mausiano Ya Kimapenzi Na Mwanaume Yoyote Huniacha Bira Sababu Yoyote Ya Msingi

Mimi Ni Msichana Mrembo Sana Ila Nikiingia Kwa Mausiano Ya Kimapenzi Na Mwanaume Yoyote Huniacha Bira Sababu Yoyote Ya Msingi


Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali ambazo tunakutana nazo kila siku kama kurudisha mpenzi wako,Kupata uzazi,kusafirisha nyota yako,kupàndishwa cheo kazini,kupata kazi,kushinda michezo ya batinasibu,kumfunga mme au mke asiende nje ya ndoa na kutambua kuwa mwenzako anakusariti au hapana kwa mda wa masaa 24.Pia kiwangadoctors wanatibu ugonjwa wa Sukari,Pressure na dawa ya nguvu za kiume.Wasiliana na kiwangadoctors kwa namba ya simu +254 769404965 au tuma ujumbe kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com na zaidi temberea website yao www.kiwangadoctors.com kupata taarifa zaidi. 


CHAT BURE NA KIWANGA HAPA


Jina langu naitwa Serina,umri wa miaka 26.Mimi ni msichana mzuri kisura pia kitabia kutokana na jamii ninayo ishii wanavyonambia,ata mimi mwenyewe nikijitazama naona kuwa nimetimia kila mahari kwa sababu nina kila sifa mwanaume ambayo anapenda kwa mwanamke kuwa nayo.

Shida yangu kubwa ambayo imenifanya niandike ujumbe huu naitaji kupata ushauri kutoka kwa watu mbalimbali ili niweze kujua jambo gani la kufanya kwa sababu nimeumia kwa mda mrefu sana na kujiuriza mimi mwenyewe maswali mengi bira kupata majibu sahiii ambayo yanaweza tatua shida yangu niliyonayo. 

Shida kubwa ni tangu nikiwa na miaka 17 nikijiusisha na mausiano na mwanaume yoyote tunapendana kwa mda mchache sana na kuniacha bira mimi kujua wapi nimemkwaza.Hali hiyo imenitokea kwa wanaume wengi sana ila mimi sikujari kwa mda nikidhani mwanaume ambaye ananitongoza kisha tunapendana na badae ananiacha anakuwa siyo chaguo ambalo mungu amenipangia. 

Nilipofikisha miaka 23 nikaitaji mwanaume ambaye ntaweza funga nae pingu za maisha kwa sababu nirikuwa nimeisha itimu masomo yangu hivyo niliitaji mtu wa kubadirisha mawazo ya maisha japo bahati yangu kubwa nirikuwa natangozwa kila mara ila naachwa bira kujua wapi nimemkwaza mwenzangu.Jambo ambalo limekuwa kitendaaili kwangu. 

Siku moja nirienda kumtemberea Shangazi yangu mkoa wa Tabora ili niweze badirisha mazingira ya nyumbani maana nilikuwa nimechoka kukaa home.Nilifika salama na kupokerewa na mtoto wa Shangazi yangu Leaha.Leaha arikuwa na umri kama wangu hivyo turiweza badirishana story mbalimbali kuhusu wanaume ata vitu vingine kuhusu maisha. 

Watu wengi mtaani warihisi kuwa mimi na Leaha ni mapacha kutokana na kufanana sana pamoja na jinsi tulivyokuwa tunapendana.Nikiwa nimemariza siku saba tu nikiwa mkoa wa Tabora nikatongozwa na kijana mmoja anaitwa Sharifu.kwa mtazamo wa haraka Sharifu arikuwa ni kijana mwenye sifa ambazo mimi napenda mwanaume kuwa nazo japo sikuweza kumbukaria nikiofia yale yariyonitokea kwa wanaume wa kwanza nirio kutana nao japo moyo wangu unaumia. 

Siku zinazidi kusogea na Sharifu bado anaomba nimkubarie ili tuweze anzisha family wote wawili pia pesa yake ananipatia kila ninapoitaji bira kusita ata mtani wanamsifu kuwa ni kijana mzuri ana sifa yoyote mbaya mtaani ata Shangazi anamjua kwa sasa ila mimi sijakubari. Nahitaji ushauri kwa yoyote atakaye weza soma story yangu maana sijui kipi nifanye Sharifu nampenda ila naogopa nikisha ingia kwa mausiano nae ya ndani kabisa yasije nitokea kama mwanzo au nibaki single na kula pesa za wanaume wanaonitongoza ila nisiwakubarie na je nikifanya hivyo ntaishi maisha
gani kwa sababu umri unaenda pia.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post