Mange Kimambi Amshukia Harmonize kwa Kununua Views Youtube - EDUSPORTSTZ

Latest

Mange Kimambi Amshukia Harmonize kwa Kununua Views Youtube


Reposted from @mangekimambi_ @harmonize_tz Embu acha huu ujinga kwa kununua views. Sasa unamdanganya nani?

Sasa Killy ana views 1.3M ila ana trend number 10. Misa ako na 500k ana trend number 2? Na likes kamzidi, 🀦🏽‍♀️πŸ™†πŸ½‍♀️

Uwe una nunua na trending na likes na comments la sivyo unajiabisha tu.

Like seriously what’s the point of this silliness? It shows kuwa hujiamini na hukubali level yako. Unafosi kuwa mkubwa hadi unaboa.

Nimetokea tu mfano hii ya Killy. Ila wewe mwenywwe umefanya same thing na video yako ya Sandakalawe. Eti umewapita views Kiba na Dai. Ila trending umeshika mkia hata top 5 hukufika na likes na comments umeshika mkia. Bwana unajiabisha tu. Mbona hukuposti trending ukaposti tu views za marobot?

Kama dadako nakwambia hivi acha huu ujinga. Haikusaidiii kitu inakufanya tu uonekane mshamba.

Yani watu walikuwa wanaomba sana niongelee hiki kitu tokea last week nikapotezea nikasema labda dogo aliona tu aibu kupitwa na Zuchu ikabidi anunue views ili asidhalilike sana nikasema nimstahi tu mdogo wangu. He leo tena naona kafanya ili Misa asimpite Killy, nikasema huyu sasa ana matatizo.

Jamani mi ndo maana nawaambia watz acheni ushamba wa views za YouTube. It doesn’t mean anything. Oneni sana.

Ila nimeelewa kitu, Harmonize ana matatizo. Hayuko kufanya mziki wake yuko busy kushindana na watu. Kitu ambacho ndo kitamwangusha.

@harmonize_tz You know why Kiba amelast in the game for so long? You know why Kiba hata apotee miaka 10 siku akirudi mafans wanapagawa as if he never left? Ni sababu yule anaishi kivyake. Hana time na ushindani na mtu. Wewe unaweka energy kubwa kushindana mpaka unafanya mambo ya aibu kama haya. Yani 2 weeks ago wewe na Dai mlikurupuka tu mlivyoona Kiba ana trend. Fanyeni mziki wenu acheni kushindana na Kiba.

Haya mambo ya kununua views wary hata walishayasahau bado yapo wewe umeyarudisha upyaaa. Anyways wakulamiwa ni hao hao wasafi ndo walikufundishaga haya mambo 🀣🀣🀣🀣

Anyways, YouTube wako makini sana, eventually watastukia tu hizi views na watazitoa.

Jamani mkitaka kumjua alienunua views. Ni kwenye trending na likes na comments. Atakuwa na views kubwa Ila trending anapitwa na wenye views ndogo na wanampita kwenye likes na comments.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz