Kimenuka Huko...Meneja wa Diamond Platnumz Mkubwa FELLA Ataka Mwijaku Akaguliwe Uraia - EDUSPORTSTZ

Latest

Kimenuka Huko...Meneja wa Diamond Platnumz Mkubwa FELLA Ataka Mwijaku Akaguliwe Uraia

Meneja wa Diamond, Mkubwa Fella akiongea na WasafiTV amemtishia Mwijaku kumkagua Uraia wake kutokana na Kitendo chake cha kushangilia baada ya Diamond kushindwa kwenye Tuzo za BET akidai Mwijaku ameonyesha Chuki na sio Ushabiki

Fella, amesema Watanzania hawana Roho ya Chuki, watu wenye Chuki kama ile wanatakiwa wakaguliwe Uraia wao ili kuwajua kama ni Watanzania au Wakimbizi.

Aidha, Fella amedai ana Kazi nyingine tofauti na Kazi ya Udiwani na Muziki, amedai anafanya Kazi nyingi sana za Siri alizopewa na Serikali lakini hataki tu kuziweka wazi ili Kulinda Amani Nchi.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz