Kauli ya Alikiba kuhusu kununua views - EDUSPORTSTZ

Latest

Kauli ya Alikiba kuhusu kununua views

Supastaa Alikiba ambaye kwasasa anafanya vizuri kupitia kazi zake mbili alizoziachia mfululizo ambazo ni Ndombolo na #Salute, ameweka wazi kuwa suala la yeye kununua VIEWS YouTube katu hawezi kulifanya.
"Siwezi kujitekenya na kucheka mwenyewe" - ametweet @officialalikiba

Kiba amelijibu hilo akimpa ufafanuzi shabiki mmoja kupitia ukurasa wake wa twitter ambaye alihoji kuwa eti mkali huyo ananunua VIEWS.

Suala la views kwa wasanii limekuwa pasua kichwa kila uchao kwani shutuma za ununuzi wa VIEWS sasa ni endelevu baina ya wasanii kwa wasanii sambamba na mashabiki kwa wasanii wao.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz