Haji Manara "Wallah Kigoma Tukifungwa Naacha hii Kazi Narudi Shamba Kulima" - EDUSPORTSTZ

Latest

Haji Manara "Wallah Kigoma Tukifungwa Naacha hii Kazi Narudi Shamba Kulima"

Anaandika @hajismanara Msemaji wa klabu ya Simba Sc

".......Captain @john_22_bocco sema na wenzio bro,,,mtakuja kuua watu Kwa makundi siku moja ,naambiwa Dar kuna Shabiki kajipiga kitanzi huko,,,half ya kwanza mmecheza kama mmelazimishwa au mnadai kitu,,mmezinduka second half na wao wakaweka contena mechi ikaisha,,,,

Wallah kigoma tukifungwa naacha hii kazi narudi Shamba kulima,,,,viongozi wanatimiza majukumu yao,Washabiki wanajaa kuliko Washabiki wao kwa mbali mno,,mm natukanwa kutwa Kwa kuwapa nguvu nyie lakini mmeenda kutuangusha,,,,

Sioni sababu ya kuendelea na kazi hii kama wachezaji hawajui nn maana ya uzito wa Derby,,,Wachezaji wao wanajitoa asilimia elfu moja toka dakika ya kwanza,,,cc tunazinduka kushakuchwa,,,,kaeni wenyew zungumzeni na thamani ya jezi ya @simbasctanzania ilindwe.

Ni yapi Maoni Yako !?

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz