Jibu la Ali Kiba Baada ya Kuulizwa Kama Ataongeza Wasanii Wengine Kings Music - EDUSPORTSTZ

Latest

Jibu la Ali Kiba Baada ya Kuulizwa Kama Ataongeza Wasanii Wengine Kings Music


Hili ndio jibu la @officialalikiba baada ya kuulizwa kuhusu mpango wa kuongeza wasanii kwenye label ya King's Music mara baada ya kuondoka wasanii wawili; Killy na Cheed.

"Sio kila mtu anakuja King's, hatutafuti na hatuhitaji. Tukikupata tutakuchukua. Tukiona unafaa tutakuchua." @officialalikiba

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz