Haji Manara na Simba Basi Tena...Hii Hapa Barua ya Simba Wakimuaga - EDUSPORTSTZ

Latest

Haji Manara na Simba Basi Tena...Hii Hapa Barua ya Simba WakimuagaBodi ya wakurugenzi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, kwa kauli moja, imeridhia matakwa ya Haji Manaa ya kutokuendelea kuhudumu katika nafasi ya Msemajiwa Klabu. Bodi inamshukuru kwa maneno aliyotumia kuwaaga wana Simba.

Klabu ya Smba imemteua, Ezekiel Kamwaga kuwa Kaimu Mkuu wa Idaa ya Habai na Mawasiliano ya Klabu kwa kipindi cha miezi miwili.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz