Bwalya Simba, Luis Miquissone Auzwa




WAKATI dili la Luis Miquissone kujiunga na Al Ahly ya Misri likiwa limekamilika, Simba imefanya fasta kumvuta straika kutoka klabu hiyo Bingwa wa Afrika.

Inaelezwa kuwa dili la Luis kwenye kwa wababe hao, umeenda sambamba na mkwanja mnono na mshambuliaji, Walter Bwalya waliyekuwa wakimwinda kwa muda mrefu.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post