Tunda Ajifungua Mtoto wa Kike - EDUSPORTSTZ

Latest

Tunda Ajifungua Mtoto wa Kike

MUUZA nyago aliyejizolea umaarufu kutokana na vituko vyake katika mitandao ya kijamii, Tunda Sebastian amejifungua mtoto wa kike salama katika hospitali moja jijini Dar.

Tunda ambaye ni mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva, Whozu kupitia insta story ya akaunti yake ya Instagram ametupia picha mbalimbali akiwa hospitalini na mama yake mzazi huku picha nyingine zikiambatana na pongeza kutoka kwa wadau mbalimbali kwa kujifungua Akizungumza na RISASI, mdau mkubwa wa sanaa aliyeomba hifadhi ya jina lake, alimuonya Tunda kupunguza starehe ili sasa amhudumie mtoto.“Nimpongeze maana sasa nay eye amekuwa mama. Mama ni ulezi hivyo yale mambo ya ujana sasa apunguze. Apunguze starehe, apunguze mitoko ili aweze kumlea vizuri mwanaye,” alisema mdau huyo.Kwenye mitandao ya kijamii hususan Instagram, Tunda alipongezwa na mastaa mbalimbali pamoja wadau wengine.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz