Tanzia: Mwanzilishi wa Antivirus ya Mcafee Afariki Dunia - EDUSPORTSTZ

Latest

Tanzia: Mwanzilishi wa Antivirus ya Mcafee Afariki DuniaJohn McAfee amefariki katika chumba kimoja cha Gereza katika Jiji la #Barcelona, Uhispania

Umauti umemkuta saa chache baada ya Mahakama Nchini humo kuamua kumsafirisha hadi Marekani ili akashtakiwe kwa makosa ya kukwepa kodi

Taarifa za awali zinaeleza uwezekano wa John #McAfee kujiua
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz