Steve Nyerere kafunguka kuukosa ukuu wa wilaya ‘Sijakasirika, kile kiti tu, nimepokea pole nyingi’ - EDUSPORTSTZ

Latest

Steve Nyerere kafunguka kuukosa ukuu wa wilaya ‘Sijakasirika, kile kiti tu, nimepokea pole nyingi’

 


Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutangaza orodha ya aliyowateulia katika nafasi ya Ukuu wa Wilaya, sasa Ayo TV & Millardayo.com imempata Mwigizaji Steve Nyerere kujibu yale yanayoendelea mitandaoni juu wanaomsema kuhusu kukosa teuzi hiyo.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz