Simba na Yanga Kukutana Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba na Yanga Kukutana Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam


Klabu ya @simbasctanzania imefanikiwa kufuzu kuingia hatua ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam #ASFC Baada ya Kuichapa @azamfcofficial Bao 1-0 katika Mchezo wa Nusu Fainali uliopigwa katika Dimba la Majimaji 🏟 Mkoani Songea,

Sasa ni Rasmi Simba Sc itakutana na yanga Sc kwenye Hatua ya Fainali ya Kombe la shirikisho la Azam #ASFC itakayopigwa katika Dimba la Lake Tanganyika 🏟 Mkoani Kigoma.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz