BARAKA THE PRINCE Aziponda Nyimbo Mpya zilizotoka, Adai Kuwa ni Mbaya "Mashabiki Mnazidi Kuharibu kwa kuwapa Kichwa" - EDUSPORTSTZ

Latest

BARAKA THE PRINCE Aziponda Nyimbo Mpya zilizotoka, Adai Kuwa ni Mbaya "Mashabiki Mnazidi Kuharibu kwa kuwapa Kichwa"


Baraka the Prince ameandika haya:


 Daaah 🤔😡 Kiukweli Mpaka Sasa Sijaona Wimbo Mzuri Umetoka Kama Huu #Yanachosha💔 Japo wapo Baadhi Wametoa Nyimbo Kali..Ila Hao wasanii wenu Mnaowapigia Mayowe mob Trust me Hamna Kitu Wamefanya, Na Wanaifanya Hii Game kwa mazoea sana Na ninyi Mashabiki Mnazidi Kuharibu kwa kuwapa Kichwa Na huo Ukubww Bandia Aisee...Wasanii Wakali kazeni Huu Mziki now Upo Wazi Kazi Nzuri Itatembea tu hata kwa mwendo wa kobe..😂😂😂😂😂 Naenjoy Sana napoona watu wanato nyimbo Mbaya..#Yanachosha💔 🎶🎥 Link Kwa Bio.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz