Serikali imesitisha Mabadiliko ya Mitaala Mipya ya Masomo - EDUSPORTSTZ

Latest

Serikali imesitisha Mabadiliko ya Mitaala Mipya ya Masomo

Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga amesema kuwa serikali imesitisha kutumia mabadiliko ya mitaala mipya ya masomo katika shule za msingi na sekondari lengo likiwa ni kupokea maoni ya wadau wa elimu kuhusu maboresho ya mitaala kwa ngazi ya wawali, msingi na sekondari.

Amesema hayo wakati akifungua mkutano wa kupokea maoni ya wadau wa elimu Tanzania kuhusu uboreshwaji wa mitaala.

Mkutano huo wa siku moja umewakutanisha wadau wa elimu hapa nchi ili kutoa maoni ya mitaala ya elimu itakayo endana na sayansi.

Mkutano huo ambao utaibua hoja mbalimbali katika kuboresha mitaala ya elimu Tanzania, kutoka kwa wadau wa elimu kote nchini.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz