Rais Samia "Chanjo ya corona itakuja Tanzania lakini itakuwa hiari kwa mtu kuchanjwa" - EDUSPORTSTZ

Latest

Rais Samia "Chanjo ya corona itakuja Tanzania lakini itakuwa hiari kwa mtu kuchanjwa"


 "Chanjo ya corona itakuja Tanzania lakini itakuwa hiari kwa mtu kuchanjwa, haitakuwa lazima, Tuliamua kwamba Twende na Ulimwengu unavyokwenda Tuchanje, Tuchanje kwa hiari Mtanzania anayetaka atachanja asiyetaka atajiskiliza nafsi yake,


Sisi kama Serikali tunahimiza yale yanayoshauriwa na wataalamu, kama unaamini kwenye kupiga nyungu wewe piga, Kila mmoja atekeleze wajibu wake, Jikingeni sana na wakingeni watoto" - Rais @samia_suluhu_hassan





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz