Hatimaye Mrembo TUNDA na Mwanamuziki Whozu Wamepata Mtoto, Whozu Ataja Jinsia


Msanii Whozu amethibitisha yeye kupata mtoto baada ya Mchumba wake Tunda kujifungua Salama. Wawili hao wamefanyikiwa kupata mtoto wao wa kwanza, whozu amepost katika mitandao yake ya kijamiii picha ya Tunda akiwa na mama yake Hospitalini na kuandika haya: "Baraka juu ya Baraka " 

Baada ya Whozu kuhojiwa amesema kuwa wamefanikiwa kupata mtoto wa kike salama kabisa na anafurahi unayozidi kifani



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post