Panya mmoja tu, awaamisha wafungwa 400 Gereza - EDUSPORTSTZ

Latest

Panya mmoja tu, awaamisha wafungwa 400 Gereza
Uharibifu mkubwa wa panya mmoja katika eneo la New South Wales, Australia, umelazimisha gereza moja kuwahamisha mamia ya wafungwa ili kufanya ukarabati na usafi.

Explainer: How to protect pets from mouse bait | The Canberra Times |  Canberra, ACT

Zaidi ya wafungwa 400 na wafanyakazi 200 wa gereza laWellington watahamishia kwenye magereza mengine katika kipindi cha wiki mbili zijazo.

Panya hao wamesababisha uharibifu mkubwa kwa miundo mbinu ya gereza, ikiwa ni pamoja na nyaya za ndani ya gereza pamoja na paa.Wimbi la panya limekuwa ni tatizo kubwa kwa wakulima wa Australia tangu msimu wa mavuno ulipoanza  wa 2020

Wimbi la panya limekuwa ni tatizo kubwa kwa wakulima wa Australia tangu msimu wa mavuno ulipoanza wa 2020

Gereza la New South Wales limekuwa likihangaishwa vibaya na panya kwa miongo kadhaa.

Msimu wa mavuno mazuri umeongeza idadi ya panya katika jimbo hilo lililopo kusini-mashariki mwa Australia, ambako wanyama hao wamekuwa wakifanya uharibifu mkubwa wa mazao kwa miezi mashambani.

Maafisa wa magereza ya taifa wanasema wafungwa katika gereza hilo watapunguzwa kwa miezi minne huku likisafishwa, kukarabariwa na kulindwa dhidi ya uharibifu siku za usoni.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz