Oscar Oscar Akatwa Kwenye Mchakato wa Urais TFF - EDUSPORTSTZ

Latest

Oscar Oscar Akatwa Kwenye Mchakato wa Urais TFF

Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa michezo nchini wa kituo cha Radio EFM na TVE, Oscar Oscar leo ametangaza kupokea E-Mail kutoka Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)  kuwa amekatwa  kwenye mchanakato wa Urais TFF

 Osca ametoa taarifa hiyo kupitia katika ukurasa wake wa instagram ma kuandika hivi;

Muda mchache uliopita Nimepokea E-mail kutoka Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) nikijulishwa kuwa NIMEKATWA kwenye mchakato wa Urais wa TFF.

Nitawapa Taarifa zaidi!

Oscar Oscar alikwe kuchukua fomu kwanda kuchukua fomu juni 9, kwa ajili ya kuwania nafasi ya Urais katika Shirikisho hilo ambapo uchaguzi wa kikatiba unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi Agosti mwaka huu 2021.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz