Mkurugenzi wa Mashtaka #Tanzania, Sylvester Mwakitalu amesema Mtendaji wa PAP, Herbinder Seth amekiri makosa ya Uhujumu Uchumi na kukubali kulipa faini
DPP Amesema endapo Seth atakamilisha taratibu alizopewa ikiwemo kulipa faini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itamuachia huru
Post a Comment