Mwijaku Amtaka Fred Vunja Bei Aache kusaidia Watoto wa Kike "Wanamdhalilisha Kutangaza ya Ndani" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwijaku Amtaka Fred Vunja Bei Aache kusaidia Watoto wa Kike "Wanamdhalilisha Kutangaza ya Ndani"


Mwijaku Amtaka Fred Vunja Bei Aache kusaidia Watoto wa Kike "Wanamdhalilisha Kutangaza ya Ndani"

Mwijaku ameyasema hayo akiojiwa na Carrymastory, alisema hayo kutoka na hivi karibuni Mrembo Official nai kuweka wazi kuwa alishawahi saidiwa na Fred vunja bei na wakaishia kutoka kimapenzi

Amesema Fred mwenye hadhi yake mwasibu wa chama apaswi kuzungumziwa hovyo na watoto wa kike 




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz