Muigizaje anayelipwa mkwanja mrefu zaidi Korea - EDUSPORTSTZ

Latest

Muigizaje anayelipwa mkwanja mrefu zaidi Korea

 


Korean drama imeteka soko la dunia sio tu huku kwetu bali ni duniani kote Korean drama zinaonekana.Hii imepelekea waigizaji wa Korean drama kulipwa pesa nyingi mno.Wengine umaarufu wao umekua mkubwa sna barani Asia hii inapelekea wapewe deals nyingi na malipo makubwa.


Huyu ndie Muigizaji wa Korean drama anaelipwa pesa nyingi mno.


KIM SO HYUN

Akiwa ameigiza drama nyingi na zenye mafanikio makubwa kwenye kdrama industry Kim So Hyun ndio muigizaji Star kabisa katika industry ya Korea,anaitwa Top Hallyu Star.Akipewa jina la King Of Comercial kwani hyu ndie muigizaji wa korea mwenye Endorsment nyingi kulko waigizaji wote.


Kim So Hyun inasemekana alilipwa US dollar 164K sawa na shilingi za kitanzania kama 330M kwa episode moja kweny drama ya IT'S OK NOT TO BE OKAY.Drama ambayo ilikua na episode 16 kwahyo jumla amekusanya 5.2Billion za kibongo kwa drama moja tu.


Inasemekana katika drama yake inayotarajiwa kutoka mwishoni mwa mwaka huu atalipwa mara mbili zaidi ya mkwanja huu aliopokea.


Hizi ni baadhi ya drama alizo igiza hyu mwamba


My love from another star

Moon embracing the sun

Dream high

It's okay not to be okay


Hizi ni drama zenye umaarufu mkubwa Asia na zilipata Billions of streams kwenye sites mbalimbali za kusambazia movie kama Netflix,VIU,VIKI,HULLU,DRAMAFEVER,IQIY na nyingne nyingi.


Inasemekana ana networth ya kama US dollars 117M sawa na 214billions za madafu.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz