Mtoto wa miaka 13 adaiwa kupigwa risasi na polisi kisa kukiuka masharti ya corona - EDUSPORTSTZ

Latest

Mtoto wa miaka 13 adaiwa kupigwa risasi na polisi kisa kukiuka masharti ya corona




Jeshi la Polisi nchini #Uganda, linachunguza mauaji ya Ester Naula (13) ambaye amedaiwa kupigwa risasi na Polisi kwa kukutwa nje saa moja na robo usiku ambao ni muda wa kuwa ndani

Tukio hilo limetokea katika Wilaya ya Butaleja, ambapo inaelezwa kuwa Ester alikuwa ametoka kununua chapati ndipo Polisi alirusha risasi baada ya Ester na Wananchi wengine kukimbia ili kuepuka kukamtwa

Aidha, Msemaji wa Polisi wa Mkoa wa Kusini, Moses Mugwe amethibitisha tukio hilo lililoacha majeruhi kadhaa. Polisi aliyefanya tukio hilo ameshakamatwa





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz