Brian Simba afunguka Vanessa Mdee kuacha kumpa sapoti, sijaongea naye muda - EDUSPORTSTZ

Latest

Brian Simba afunguka Vanessa Mdee kuacha kumpa sapoti, sijaongea naye muda



“Mimi naona sawa tu kwa sababu sijaongea naye muda sana ila Mimi Mars ananisapoti sana, tuliacha mambo kwenye sehemu nzuri , huwezi kumlzimisha mtu akusapoti hiyo inatoka kwenye moyo wa mtu”

Mimi niliondoka Mdee Music bila ugomvi hiyo ilikuwa mipango tu na naona menejimenti yangu ya sasa inanifaa zaidi, Mdee Music ilinitangaza sana ngoma zangu zilipigwa mpaka Nigeria, Ghana, Afrika Kusini”. – @briansimba_






Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz