MCT yalaani Waandishi wa habari kutishiwa - EDUSPORTSTZ

Latest

MCT yalaani Waandishi wa habari kutishiwa

Baraza la Habari Tanzania (MCT) linalaani vikali kitendo cha watu wasiojulikana kuwatisha waandishi wa habari wa ITV, TBC na Mwananchi kutokana na kuandika habari zinazomhusu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, anayetuhumiwa kwa makosa mbali mbali mahakamani.
Akizungumza leo, Katibu Mtendaji wa MCT, Kajubi Mukajanga, amesema Baraza limepokea taarifa hizo kwa mshtuko mkubwa hasa ikizingatiwa kuwa Mei 20, 2021 katika Mkutano Mkuu wa Wahariri mjini Morogoro, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alisema Serikali haitakubali kuona waandishi wa habari wakinyanyaswa.

Alisema Katika hotuba yake hiyo, Waziri Mkuu aliongeza kusema kuwa “Siyo sera ya Serikali kunyanyasa waandishi wa habari” alinukuu Kajubi.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz