Mashabiki wadai JADA ameamua kumuumiza tena WILL SMITH baada ya ujumbe wake kwa marehemu 2 Pac - EDUSPORTSTZ

Latest

Mashabiki wadai JADA ameamua kumuumiza tena WILL SMITH baada ya ujumbe wake kwa marehemu 2 Pac


June 16 siku ya jumatano ilikuwa ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa marehemu 2 PAC ambapo kama angekuwa hai basi angetimiza miaka 50, Mashabiki wameamua kumrudisha tena Will Smith baada ya ujumbe wa mkewe kwa marehemu 2 pac, wakumbushia tukio lake na August alsina, haya ndiyo usiyafahamu toka kwa wanafamila hawa


VIDEO:
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz