Manchester City yavunja ‘Kibubu’ kwaajili Harry Kane - EDUSPORTSTZ

Latest

Manchester City yavunja ‘Kibubu’ kwaajili Harry Kane




Manchester City imeweka wazi nia yake ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Tottenham, Harry Kane kwa dau nono la paundi Mil. 100.

Harry Kane: Man City make £100m transfer bid for Tottenham striker |  Football News | Sky Sports

City imemambo hadharani bila kupepesa macho kuwepo kwa mazungumzo baina yao na mchezaji huyo lakini waajiri wake ambao ni klabu ya Spurs wanaamini nyota huyo huyo mwenye umri wa miaka 27 hatokubali dili hilo la usajili.

Katika mazungumzo yaliopita baina ya klabu hizo mbili hazikufikiana muafaka licha ya kuhususihwa kwa majina ya wachezaji Raheem Sterling, Aymeric Laporte na Gabriel Jesus.

Huku ni sawa na kuvunja kuvunja ‘kibubu’ kwa Man City katika usajili wa Kane kwani rekodi yao ya usajili ilikuwa chini ya paundi Mil. 65 lakini kwa kuhakikisha wanamng’oa Harry Kane wameamua kuweka kitita hiko kinono cha fedha ambacho kwa Spurs wanajipa matumaini huwenda nyota wao akakikataa.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz