Killy afunguka baada ya kukutana na Alikiba - EDUSPORTSTZ

Latest

Killy afunguka baada ya kukutana na Alikiba

Msanii wa Konde Gang Official Killy, amesema hajawahi kuwasiliana na Alikiba tangu ahame lebo ya Kings Music Record ila kwa mara ya kwanza walikutana kwenye msiba na wakasalimiana fresh kabisa na hana noma naye.

Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha East Africa Television.

"Sijawahi kuwasiliana naye lakini kuna mahali tumeshawahi kukutana tukasilimiana, akatuambia wadogo zangu vipi mpo poa ilikuwa kwenye msiba, hana noma kwa sababu hatukuwa na matatizo na tuliondoka pale kwa amani na tulimuaga, pia sijamu-unfollow kwenye Instagram" ameeleza Killy

Killy na Cheed walihama lebo ya Kings Music Records ya Alikiba mwezi Aprili 2020 na kusainiwa lebo ya Konde Gang Music Worldwide ya Harmonize.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz