Bi Patricia Hillary: "Wimbo wa Njiwa peleka salamu nilirekodi 1980" - EDUSPORTSTZ

Latest

Bi Patricia Hillary: "Wimbo wa Njiwa peleka salamu nilirekodi 1980"
HitMaker wa wimbo wa 'Njiwa peleka salamu' Bi Patricia Hillary amefunguka kwamba wimbo huo aliurekodi mwaka 1980 lakini uzuri wa wimbo huo ukichezwa mahali ni kama umetoka siku za hivi karibuni.
Akizungumzia historia ya wimbo huo kwenye Heshima ya Planet Bongo ya East Africa Radio Hillary Patricia amesema

"Wasanii wa sasa waangalie tungo zao wanazotunga ziwe za muda mrefu, kama mimi njiwa peleka salamu nimeirekodi mwaka 1980 lakini mpaka sasa bado ina utamu wake"

"Nilimtumia njiwa kwa sababu ni ndege nzuri lakini wakati nauandika wimbo huo nilikuwa nimemshika mkononi na naongea nae kabisa, nilikuwa najisikia vizuri sana na watu walipenda huenda ndio alileta uzuri wa wimbo huo". ameeleza Bi Patricia HillaryJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz