GODRICK-NIMEPEWA THAMANI (Official Music Video 4k) - Wimbo Bora wa Gospel 2021 - EDUSPORTSTZ

Latest

GODRICK-NIMEPEWA THAMANI (Official Music Video 4k) - Wimbo Bora wa Gospel 2021
Sikiliza Wimbo Mpya kutoka kwa Godrick msanii anayefanya Vyema kwenye Tasnia ya Nyimbo za injili. Leo hii ametoa wimbo mpya Huitwao NIMEPEWA THAMANI . Wimbo huu umetolewa baada ya mapokeo mazuri ya wimbo wa Ahsante Baba kutoka kwa GodrickGodrick kwa sasa ni msanii bora wa kiume kwa nyimbo za injili nchini, Hivi karibuni ametoa kibao cha utoshelevu wangu kinacho fanya vizuri katika vyombo mbali mbali vya radio na Televison.

 Awali Godrick alitamba kwa wimbo wa NI AMANI aliomshirikisha samweli.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz