Zijue Sababu 07 za Wanawake Kuchepuka - EDUSPORTSTZ

Latest

Zijue Sababu 07 za Wanawake Kuchepuka


Pata GB 10 Mtinadao yote BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Sababu hizi zimetokana na utafiti uliofanywa kwa wanawake wenyewe

1. Kukosekana kwa mvuto. Intimacy

2. Kurahisisha mchakato wa kuachana (hususani pale mwanamke anapotamani kusepa ila hana sababu au mbinu za msingi).

3. Umbali. Distant relationship (umbali unadhoofisha zaidi uthabiti wa mtu kihisia, nipale mwanamke anapokuwa mbali na mwanaume kwa muda mrefu).

4. Upweke (mwanaume anaposhindwa kumwondolea mwanamke upweke, mfano kuwa bize sana, kuchelewa sana kurudi nyumbani, kutokuwa na muda n.k).

5. Kiu ya pumziko au faraja baada ya kutoka kwenye mahusiano yenye machungu na mateso (Consolation).

6. Kutafuta kukata kiu ya alichokikosa au anachokitamani (labda bibie anapenda beach sana na hapelekwi, anapenda outing au zawadi au sapraiz na huwa hapati. Hawa huwa hata hawajisikii kujutia wanapocheat).

7. Kiu ya kulipiza kisasi, kumkomesha mwanaume (revenge), hususani pale mwanaume anapokuwa na kesi nyingi za kuchepuka au kuwa na mtoto pembeni


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz