VIJUE VIFUNGO VYA KUTOKUOLEWA NA KUZAA

VIJUE VIFUNGO VYA KUTOKUOLEWA NA KUZAA

Washirikina wanafunga watu vifungo mbalimbali hasa vya kutokuolewa na kuzaa.  Ndio maana unakuta wewe unabaki nyumbani wenzako wanaolewa wewe una kazi na maisha mazuri miaka inaenda lakini hauolewi.

VIFUNGO VYA KUTOKUOLEWA : Vipo vitu ambavyo washirikina hawa hutumia katika kuwafunga watu ili wasiolewe, vitu vyenyewe ni :

Nguo za ndani za muhusika wanaomtaka asiolewe.

Kumtupia majini ya kumfanya mtu amuone mzee pale anapotaka kumuoa.

Kumfanyia uchawi uchawi wa kuonekana ananuka wakati anuki ili mtu akimtaka amuone ananuka

Kumuwekea mapepo ya kukataa wanaume wa maana na kuwapenda wanaume wasio na maana.

VIFUNGO VYA KUTOKUZAA : Washirikina wanafunga watu wasizae kwa kutumia dawa pamoja na uchawi wao.  Silaha za maangamizi wanazotumia kumfanya mtu asizae ni pamoja na :

Taulo za kike(Pedi) za mtu wanaomtaka asizae

Nguo za ndani za muhusika kama vile chupi, sketi taiti, blazia au sidiria

Kuchota nayo na kuanza kunuizia

Pia ukijiona kuwa na dalili za kutokushika ujauzito kwa muda mrefu na umejaribu kwenda Hospitali kupimwa na ukagundulika huna tatizo lolote au umri umeenda wadogo zako wanaolewa wewe unabaki kuwa msindikizaji.

Previous Post Next Post