MATUNDA YANAYOONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA HARAKA

MATUNDA YANAYOONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA HARAKA

Jopo la wanasayansi wa tiba mbadala wamegundua kwamba, endapo mtu mwenye upungufu wa nguvu za kiume akatumia baadhi ya matunda kwa utaratibu maalum, huweza kusaidia kuimarisha nguvu za kiume kwa haraka zaidi. Baadhi ya matunda hayo ni :

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

(1). Ndizi : Ulaji wa ndizi mbivu husaidia kujenga uimara wa misuli ya uume na kuongeza ufanisi katika tendo la ndoa kupitia madini yake ya Sucrose, Fructose na Glucose.

(2). Tikiti maji : Tunda hili lenye virutubisho muhimu kama vile Calcium, Magnesium, Carotene na vitamin lukuki ikiwemo A, B6 na C ambavyo kwa pamoja  hutengeneza virutubisho muhimu vya kuboresha nguvu za kiume

(3). Parachichi : Huzalisha Vitamin E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni zinazochochea kuongezeka kwa uimara wa nguvu za kiume na kuleta msisimko wa hali ya juu wakati wa kushiriki tendo.

(4). Mbegu za maboga : Hizi zinatajwa kama mbegu bora zaidi hasa zikiandaliwa vizuri, kwani husaidia kupunguza kwa kiwango kikubwa asidi iliyopo mwilini na kumfanya mtu aweze kuimarika.

Previous Post Next Post