JE, BIKRA INATOKA KWA KIDOLE?


Bikra ikoje? kwa kawaida mwili wa mwanamke umeundwa kwa mifumo mingi ikiwemo mfumo wa uzazi ambao kitaalam unajulikana kama “Female Reproductive System” ambapo kila mwanamke anapozaliwa kwa asili huwa anakuwa na utando maalum(Hymen), unaotenganisha mlango wa mji wa mimba(Uterasi) ambao kwa lugha sanifu tunaita BIKRA.

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Utando huu huwa na aina mbalimbali za mionekano kutokana na maumbile ya mwanamke mwenyewe. Wapo wanawake weupe kwa weusi na wale warefu na wafupi, basi hivyo ndivyo wanavyotofautiana hata kwa aina za bikra walizozaliwa nazo.

Kuna vitu ambavyo vinaweza kuchangia mwanamke akapoteza usichana wake(bikra), endapo akakutana na mazingira yanayoweza kumletea msuguano au kuvutika kwa namna yoyote ile. Vitu hivyo ni pamoja na :

(1). KUENDESHA FARASI AU BAISKELI : Mtu anapokuwa anaendesha farasi anakuwa anatengeneza utengano wa miguu unaopelekea msuguano baina ya mapaja yake na viungo vyake vya uzazi, hivyo ni rahisi kwa utando wa bikra kuweza kukatika.

(2). MSAMBA : Kitendo hiki ambacho mara nyingi hufanywa na watu wa mazoezi ya ngumi na wale wanenguaji wa kwenye muziki, huchangia kwa kiasi kikubwa kutoa bikra kutokana na mvutano mkubwa unaotokea.

(3). PUNYETO : Kuna wanawake wengi ambao hupendelea kufanya punyeto, hiyo ni kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na wataalamu wa afya, hiyo ni kutokana na baadhi yao kutumia vitu kama vile ndizi, karoti au uume bandia na kupelekea kuondoa bikra zao wenyewe.

(4) RIADHA : Mchezo huu unahitaji muhusika kutumia nguvu na kufanya mazoezi kwa muda mrefu, ili kuongeza uwezo wa kujiweka imara kwa ajili ya mashindano. Mazoezi haya husababisha kuondosha ubikra.

(5). KUOGELEA : Nguvu ya maji inaweza ikapelekea kuondoa bikra endapo itaweza kupenya kwenye misuli ya kiuno na kuweza kuchana utando wa bikra. Hapa unatakiwa kuwa makini sana pindi unapotaka kuogelea.

Previous Post Next Post