ZIFAHAMU TABIA AMBAZO ZINAWEZA KUKUUA NA KANSA YA MLANGO WA UZAZI WEWE MWANAMKE.. - EDUSPORTSTZ

Latest

ZIFAHAMU TABIA AMBAZO ZINAWEZA KUKUUA NA KANSA YA MLANGO WA UZAZI WEWE MWANAMKE..

Image result for mahusiano ya kimapenzi
kansa ya mlango wa uzazi ni ipi?
hii ni aina ya kansa inayoshambulia sehemu ya chini kabisa ya mfuko wa uzazi{cervix}, ambayo ni kama mlango ambao hufunga kabisa mwanamke anapokua mjamzito ili kuzuia mimba isitoke.
kama picha inavyoonyesha hapo juu.{ mlango wa uzazi mzima kushoto na na ulioathirika kulia}

nini chanzo cha kansa hii?
hii ni kansa ambayo hushambulia wanawake ambao tayari wamekomaa kushiriki tendo la ndoa hasa wale ambao wako kwenye makundi hatarishi yafuatayo.

walionza kushiriki tendo la ndoa kwenye umri mdogo i.e chini ya miaka 18
magonjwa ya zinaa i.e kirusi kiitwacho kitaalamu kama human papiloma virus ni moja ya vyanzo vikuu vya ugonjwa huu.
wanawake wenye mahusiano ya kingono na wanaume wengi kwa wakati mmoja.
uvutaji wa sigara
kushiriki kingono na wanaume ambao hawajatahiriwa.
wanawake waliozaa watoto wengi: mfano watoto 6 na zaidi.
wanawake ambao kinga zao zimeshuka i.e kinga huweza kushuka kwa magonjwa mfano ukimwi na kisukari au lishe duni.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz