UTAMU WA MWANAMKE UPO KWENYE HISIA ZAKE KWA MWANAUME💃💃 - EDUSPORTSTZ

Latest

UTAMU WA MWANAMKE UPO KWENYE HISIA ZAKE KWA MWANAUME💃💃

Image result for IKIWA MWANAMKE NDIYE ANAYETAKA NDOA NA SIO WEWE KWA HITAJI LAKO KWAKE NIAMINI
Unajua Wanaume wengi huishi na Mwanamke kwa kufikiri kwamba MWANAMKE anaweza kumpenda Mwanaume yeyote
Na kwa taarifa yenu Wanawake wengi sana wapo kwenye Mahusiano/Ndoa na watu ambao sio wa HISIA ZAO hilo nina ushuhuda nalo, Ndo maana tumekuwa tukiamini kwamba MWANAMKE ANAPOKUWA ANA CHEAT NI MALAYA hilo msiamini sana wala msiliweke kwenye akili zenu, Mwanamke ili ajione ni Mwanamke ni pale anapokuwa na HISIA KALI KWA MTU FULANI kinyume chake hujiona mnyonge siku zote, Bahati pekee MUNGU alimjaalia Mwanamke ni KUPENDA KWA HISIA japo anaweza kumkosa wa HISIA ZAKE akampenda Mwanaume kwa sababu ambazo ziko nje ya uwezo wa ki bin adam.
Kwanza ifahamike kwamba WANAWAKE AMBAO HAWAFIKI VILELENI ni wengi kuliko wanaofika, Na hilo linatokana na KUMKOSA WA HISIA ZAKE😅😅
Ninao ushuhuda Mwanamke anazaa hata watoto wawili lakini ukimuuliza nini maana ya kufika kileleni ni kitu cha ajabu kwake.
UTAJUAJE KAMA MWANAMKE ANA HISIA JUU YAKO?
Mwanamke akiwa na HISIA juu yako kwa hakika SIO mtu wa kufikiri awapo na wewe muda wote atakuwa mwingi wa mihemo ya mahaba na mwenye shauku ya kurudia rudia tendo la NDOA wala hasubiri umwambie wewe bali yupo tayari kulilia penzi lako.
Unakutana na Mwanamke mpo kitandani lakini akili yake haipo hapo ujue anawaza mwingine, Wanaume jitahidini kuwatafuta wanawake wenye HISIA nanyi kuliko kuwazia TENDO LA NDOA tu maana mwisho wa siku akitokea wa HISIA unaachwa kwa DHARAU kwa sababu kummiliki Mwanamke asokuwa na hisia na wewe ni Sawa na KUISHI NYUMBA YA GHOROFA🏢 bila umeme😅😅😅
Mwanamke akiwa na HISIA na wewe ni Mtamu ajabu, Mwili wake wote unakuwa na ashiki kila unapougusa unamfanya kuhisi kama yupo peponi.
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria🔨

Image may contain: 1 person, close-up
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz