[WANANDOA TU] NAOMBA SOMENI HAPA TUELEWANE KIDOGO. - EDUSPORTSTZ

Latest

[WANANDOA TU] NAOMBA SOMENI HAPA TUELEWANE KIDOGO.

WANA NDOA
MUME mke unae musumbua saiz na kumuona hafai, uchafu wako unao Fanya na wanawake wengine huufichi,Kumpiga na kumtukana mda mwingine unaona kawaida tu.. Ipo siku atakuchoka na kwenda mwingine kisha unaanza kumtamani.
Kumzalisha usifikir kwamba ndo hapendwi,sema tu anajiheshimu,ila siku akiamua kuitafuta faraja kwingineko utaumia
MKE Mungu amekupa mume anae jishughulisha,ana kuheshim hajawah kukupiga au kukudharau. Mda mwingi yupo mbal kutafuta pesa. Hajawah kusalit na hujawah ona dalili za usaliti...lakin we ndo tatizo kwake, kisa hana pesa una ona mwil wako wautumie wenye pesa..
Siku atakuchoka atakufukuza hata hao wenye pesa huto waona tena
Kuna walio wa dharau waume au wake zao ,wakaachana leo hii wataman kuwarudia ila wamesha milikiwa na wengine
Umuhim wako utaugundua siku akiondoka
Muheshim anae kupenda
Kimya chake sio mjinga
Siku ataondoka
Kwa makala zaidi
Weka oda ya KITABU CHANGU
Hadithi za Eddy lukali
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz