MAMBO KUMI WANAYOFANYA BAADHI YA WANAUME HADI WANAWAKE WANAKATAA UKE WENZA* - EDUSPORTSTZ

Latest

MAMBO KUMI WANAYOFANYA BAADHI YA WANAUME HADI WANAWAKE WANAKATAA UKE WENZA*

Tom Makui: Kijana wa Kimaasai afunga ndoa na wanawake wawili ...
*1* _Kuoa mathna kufata matamanio ya nafsi zao kwa kuwiga mienendo ya rafiki zao bila kujua lengo haswa la sunnah hiyo_
*2* _Kuendekeza dhulma baada yakuoa bi mdogo kusahau bi mkubwa_
*3*_Kukosa uadilifu kwa vyakula na kadhalika ywasahau mtume صلى الله عليه وسلمywasema mwenye wake wawili akaegemea kwa mmoja wapo siku ya Qiyama atafuliwa ubavu mmoja umepooza_
*4* _Mpenzi yanapungua kwa kuona mazuri kwa mke.mdogo inapelekea kumchukia bi mkubwa wakati mtume صلى الله عليه وسلمywasema mumin mume asimchukie mumin mke asipompenda kwa tabia hii ataridhishwa na tabia nyingine_
*5*_Kutoa mapungufu ya mkeo mbele ya mke mdogo au mkubwa ndo kuendekeza chuki baina yao huu.mtihani Sana_
*6* Kutoa sifa za mke mdogo yupu hivi yupu vile mpaka katika jimai wakati mtume صلى الله عليه وسلمywasema:
*hakika mwenye daraja mbaya mbele ya Allah siku ya Qiyama ni mwanamume mwenye anayejamiiiana na mkewe kisha akaeneza siri yake. Na mwananamke anayejamiiana na mumewe kisha akaeneza siri yake*(Muslim)
*7* Kukosa elimu za mathna yeye ywaongenza ni sunnah malengo hana kabisa
*8* Kumuwachia mwanamke majukumu yake kila kitu mkeo baada yakuoa wanasahau kwamba haki yake kwa mkeo ni kumlisha anapokula kumvisha anapovaa wala asimpige uso wala asimkarapie.
*9*kukosa maelewano ndani ya nyumba unaona Wingine wakioa tu watu kukusana kuendekeza chuki na wanaume Wingine hawaseme kitu wanasahau kwamba Allah ywasema wanaume ni wasimamize wanawanake hilo huleta athari sana mpaka katika watoto kwa hivyo mume lazima uwe strong sana
*Kuepuka fitna na chuki kwa familia zako mbile zote*
*10* Watoto kukosa malezi mema kila saa wazee wagombana watoto pia wanathirika maskin

*MUHIMU MWANAMUME ULIYE NA NIYA YAKUOA MWANZO ANGALIA MWANAMKE UNAYEOA KWA USTAWI WA MAISHA YAKO*
*KUNA NYUMBA BAADA YA KUOA TU ZIMEGAWANJIKA WATU HAWAPATANI MTUME صلى الله عليه وسلم YWASEMA AKIONGOKA MWANAMKE UMEONGOKA UMMA MZIMA TAFUTA MKE MWENYE DINI KWA JELI YA FAMILIA YAKO*
💓💓💓💓💓💓💓💓💓
*NIKAHA KATIKA UWISLAMU KUJEUNGA*
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz