;
JIFUNZE KUPOTEZEA HASA PALE MAJI YANAPOFIKA SHINGONI - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 18 May 2020

JIFUNZE KUPOTEZEA HASA PALE MAJI YANAPOFIKA SHINGONI


SABABU ZA WASICHANA WENGI KUTOOLEWA... - Mwalimu Bemasha ...
Unaweza kuwa unaumia sana muda huu lakini itafika siku ambapo hutajali tena.
Itafika siku moja utapitisha siku nzima bila ya kumpigia simu au ku-mtext na kujiona uko sawa kabisa.
Itafika siku utasikia yupo na mtu mwingine na wala hutahisi kuumia au kukasirika.
Itafika siku moja, utaziona picha zake na wala hutajihisi jambo lolote. Unaweza kutana nae ukaongea nae na zile hisia za kuumiza juu yake hutazihisi tena.
Najua, unaweza usiamini ninachokiongea kutokana na tabia ya moyo ya kung'ang'ania, lakini fahamu kwamba muda nao huponya. Haiwezi kuwa hivi sasa, ila siku itafika tu.
Na siku hiyo itakapofika, utajishangaa kwanini ulikuwa ukilia? Kisha, utaona uamuzi wa kumuacha aende ulikuwa ni uamuzi wa busara katika maisha yako.

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA
Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB