;
HII NI MPYAA KWAKO TANGU UZALIWE UMEWAHI ONA HII - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 18 May 2020

HII NI MPYAA KWAKO TANGU UZALIWE UMEWAHI ONA HII


WOMEN'S CORNER | JoJo The Fighter
💞chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo katikati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua.
💞kama choo chako, kina harufu, ya mkojo na huna dawa washa kiberiti chooni harufu itakwisha
💞chukua ganda la limao lichome na vipisi vya karafuu weka kila pembe ya chumba mbu utawasikia kwa jirani
💞kutoa harufu kwenye wali uliongua weka kipande cha mkaa harufu ya kuungua itakata
💞km umepika mchuzi upo maji maji yaani mwepesi labda maji yamezidi chukua kiazi kikune na cha kukunia nyanya weka chuzi litakuwa rost
💞kuivisha maharage faster chukua maji yalochemka tia maharage weka kwenye chupa ya chai funga kesho mimina kwenye sufuria pika nusu saa harage litakuwa lishaiva
💞ukipika mchuzi vitunguu vikiungua weka sukari kidogo harufu ya kuungua haitasikika
💞Ukiamaliza kuosha vyombo still wire iweke kweny maji haiharibiki utaendelea kutumia kesho
💞big g ikiganda kwenye nguo weka kweny friza ikiganda itatoka kirahisi
1
💞kuondoa harufu ya uvundo kwenye fridge weka baking soda kwenye kikombe na maji kidogo weka kwenye fridge
KWA HISANI YA DAWA MBILI BORAPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB