*UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME:* - EDUSPORTSTZ

Latest

*UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME:*


*```1. Kwenye mshituko;```*
Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua😂 ðŸ˜‚
*```2. Kwenye kupenda;```*
Mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vizuri huyo ampendae😂 ðŸ˜‚ ðŸ˜‚😂😂
*```3.Kwenye kusaidia;```*
Mwanaume hutoa msaada alafu uhuzunika, mwanamke huuzunika badae ndo anakumbuka km msaada unahitajika ðŸ˜‚ ðŸ˜‚
*```4.Kwenye maamuzi;```*
Mwanaume hufikiri ndipo hutenda, mwanamke hutenda halafu hufikiri ðŸ˜‚
😂 ðŸ˜‚
*```5.Kwenye kudanganya;```*
Mwanaume hudanganya ili kumlinda mwanamke, mwanamke hudanganya ili kumkomoa mwanaume ðŸ˜‚ ðŸ˜‚ ðŸ˜‚
*```6.Kwenye ugomvi;```*
Wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele alafu kila mmoja hurud kwake, ```kesho tena``` ðŸ˜‚ ðŸ˜‚ ðŸ˜‚
*```7.Kwenye ndoa;```*
Mwanaume hutafuta maixha ndipo huoa, mwanamke huolewa ndipo atafute maisha😂 ðŸ˜‚ ðŸ˜‚
*```8.Kwenye kukata tamaa;```*
Mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimsumbue, mwanamke hajui kukata tamaa hadi aumizwe
😂 ðŸ˜‚ ðŸ˜‚
*```9.Kwenye kula;```*
Mwanaume hushiba alafu huanza madoido, mwanamke huanza na madoido alafu badae hujilaumu hakushiba ðŸ˜³ðŸ˜³ðŸ™ˆðŸ™ˆðŸ™ˆðŸ™ˆ
*```10.Kwenye siri;```*
Mwanaume hutunza siri hasa za aibu, mwanamke humueleza shoga yake badae hugombana nae baada ya kumrudia mwenyewe kwa siku 2 tu😂 ðŸ˜‚ ðŸ˜‚
*Hizi ni baadhi tu ya sifa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke, ila zipo nyingi...*




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz