USIPITE BILA KUSOMA HAPA: - EDUSPORTSTZ

Latest

USIPITE BILA KUSOMA HAPA:


GirlπŸ‘©: Babee hivi nikweli wanipenda na matamanio yako ni kunioa?
BOY🀡: Ndio mpenzi wangu, nakupenda sana sipo tayari kukupoteza kwa chochote.
GIRLπŸ‘©: wow, hunny kweli!!?
BOY🀡: kweli vile laazizi wangu
(Wakajigijigi)
.
.
.
Baada ya wiki mbili,...
GIRLπŸ‘©: Babe, najisikia hovyo hovyo
BOY🀡: kivipi, mpenzi wangu
GIRLπŸ‘©: Mwili wangu hauko sawa kabisa hunny
BOY🀡: aah, usijari malkia wangu, itakuwa uchovu tu wa shughuli zako za Kila leo
Siku iliyofata
BOY🀡: Sweetheart, vipi waendeleaje mpenzi wangu
GIRLπŸ‘©: Yaani hata siwezi elezea mpenzi wangu,
Hali inazidikuwa mbaya, huwezi amini nmetapika Mara tatu leo tu.
BOYπŸ₯Ί(Uwoga ukamwingia): mmmh, are you serious?
Nakakingereza kakamjia yaani (unauhakika na usemacho?)
GIRLπŸ‘©: Ndio mpenzi wangu, tumbo limevurugika na jisikia hovyo, uchovu uchovu na jisikia kulala lala kila wakati.
BOY🀡: pole sweetheart wangu, wadhani shida ni nini hasa?
GIRLπŸ‘©: I think am pregnant. Iam Really Scared. (Mpenzi wangu nadhani tulivyofanya siku Ile mimba iliingia, hapa na wasiwasi sana.)
.
Siku iliyofata.........
mwanadada akampigia mwanaume wake simu, bila kupokelewa, akapiga Tena, haikupokelewa, akapiga Tena na Tena kwa nyakati tofauti tofauti bila kupokelewa Mara 20 na kitu haikupokelewa na ikazimwa kabisaaa
Huku mwanaume akijisemea ujinga Kama huu (sipendagi kuusikia wacha nimzimie simu)
.
Siku iliyofata..........
Bimdada akaamua kumfata mpenzi wake kulekule eneo la tukio
BOY🀡: (Kwa hasira) Umemfata nani???
GIRLπŸ‘©: Heee...!! Inamaana haunifaham?
Sawa wacha nijitambulishe me ni Lilian mpenzi wak.....
BOY🀡: (kabla hajamaliza) Weee... Kimya, sinakimtu Kama wewe, hebu nipishe ondoka nyumbani kwangu kabla sijaita police
GIRLπŸ‘©: (Kwa upole,) aanh sawa haina hata haja ya police. Ntaondoka tu mwenyewe.
Lakini kabla ya kuondoka naomba kukwambia
Mimi Sina mimba, nilitaka kukupima Kama wafaa kuwa mme wangu.
Kabla mwanaume kuongea girl akafungua mlango na kuondoka.
Mwanaume akafungua mlango na kumkimbilia,
Akapiga na magoti na kumweleza huku machozi yakimlenga lenga
"Mpenzi, tafadhali naomba unisamehe sana..."
.
.
Swali ni hili.........
Je! Lilian amsamehe?
Ndio/hapana
#Share kwenda group 5 tuone wengne wanasemaje
Waweza Ni #Add kuwa friend wako
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz